Hispania, Ireland na Ufaransa Kuitambua palestin

picha-ya-raisi-wa-ufaransa

Katika hatua ya kihistoria inayoongeza kasi ya msukumo wa kimataifa wa kutambua uhuru wa Palestina, serikali za Hispania 🇪🇸 na Ireland 🇮🇪 zimekaribisha rasmi uamuzi wa Ufaransa 🇫🇷 kutambua Dola ya Palestina ifikapo mwezi Septemba 2025, wakati wa Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa.


Uamuzi huo umetangazwa na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, akisisitiza kuwa ni sehemu ya juhudi za kuhakikisha suluhisho la mataifa mawili kati ya Israel na Palestina linadumishwa.Pedro Sánchez, Waziri Mkuu wa Hispania, alisifu hatua hiyo akisema: "Pamoja lazima tulinde suluhisho la mataifa mawili ambalo Netanyahu anajaribu kuliharibu.


Muhtasari wa tamko hilo:


picha-ndogo-ya-mwandishi by Twaha Ahmadi | Iliandikwa 25/07/2025

← Rudi Mwanzo Toa Maoni

Shiriki habari hii: