Congo ni hazina ya madini ya thamani duniani, Hapa kuna muhtasari wa kina kuhusu madini yanayopatikana nchini humo na kazi zake:
- Cobalt
Congo inazalisha zaidi ya 70% ya cobalt duniani
Hutumika katika betri za lithiamu-ion (simu, magari ya umeme)
- Coltan (Tantalum)
Hutumika katika kondensa za vifaa vya elektroniki
Muhimu kwa simu, kompyuta, na kamera
- Tin (Bati)
Hutumika katika soldering ya vifaa vya elektroniki
Pia hutumika kutengeneza vyombo vya jikoni
- Tungsten Hutumika katika utengenezaji wa vifaa vya kudhibiti joto
Pia hutumika kwenye balbu na vifaa vya viwandani
- Diyama (Diamonds)
Hutumika katika mapambo na viwanda vya kukata
Congo ina migodi ya almasi mashariki mwa nchi
- Zahabu (Gold)
Hutumika katika mapambo, akiba ya fedha, na vifaa vya elektroniki
Migodi mingi iko mashariki mwa DRC
- Shaba (Copper)
Hutumika katika nyaya za umeme na vifaa vya ujenzi
Haut-Katanga ni mkoa maarufu kwa shaba
- Lithium na Uranium
Muhimu kwa teknolojia ya kisasa na nishati ya nyuklia
Congo ina akiba kubwa ya madini haya
Unamaoni gani kuhusiana na Suala la Madini ya congo ? Toa maoni yako hapo chini
by Twaha Ahmadi | Iliandikwa 05/08/2025