Achraf Hakimi akabiliwa na kesi Kubwa Nchini Ufarabsa

 picha ya mchezaje wa ufaransa raia wa Moroko

Mchezaji wa kimataifa wa Morocco na beki wa klabu ya Paris Saint-Germain (PSG), Achraf Hakimi, anakabiliwa na tuhuma za jinai zinazohusisha ubakaji wa dada mwenye umri wa miaka 24. Kwa mujibu wa waendesha mashtaka wa jiji la Nanterre, kesi hiyo sasa inaelekezwa mahakamani kwa kusikilizwa rasmi, hatua inayoweza kuathiri taaluma yake ya soka.

Maelezo ya Tuhuma:

Hatua ya Kisheria:
Maoni ya Pande:
  • Wakili wa Hakimi amesema ombi la mashtaka “halina msingi wa kisheria.
  • Mshitaki anasema: “Tuna imani haki itatendeka.
FUNZO KWA AFRIKA NA MICHEZO

Kesi ya Hakimi inatufundisha kuwa:

  • Umashuhuri hauzuii mtu kuwajibika kisheria.
  • Wachezaji ni kioo cha jamii — wanapaswa kuzingatia maadili ndani na nje ya uwanja.
  • Mashirika ya michezo yanapaswa kuwa na miundo bora ya kujibu masuala ya kimaadili na kijinai.

picha-ndogo-ya-mwandishi by Twaha Ahmadi | Iliandikwa 03/08/2025

← Rudi Mwanzo Toa Maoni

Shiriki habari hii: