
Mkutano wa Kitaifa wa Maelewano Wazinduliwa Afrika Kusini
Soma habari kamili →
HABARI ZA AFRIKA
Tangazo la Marekani kusimamisha utoaji wa visa kwa Warundi si tu changamoto ya kibinafsi kwa wasafiri, bali ni kengele ya kuamsha fikra za kitaifa na bara zima. Ni wakati wa kujiuliza: kwa nini bado tunategemea sana mataifa ya nje kwa fursa, hifadhi, na heshima ya kusafiri?
By Twaha Ahmadi | Iliandikwa 14/08/2025NDEGE
MATUKIO
BURUNDI NA UTAMADUNI
BELGIUM, TRENI